EBANA TUNAWAKUMBUSHA MUWE MNAJARIBU KUPITIA ARIS MATOKEO YAMEKUWA RELEASED NI MUHIMU SANA WADAU! TUCHEKI MA A' YETU B+ NA MA-SUP KAMA YAPO ILI TUJIPANGE/TUJIKOKI KU-CLEAR MAMBO.........BUT HOPE WANA RESTLESS MMECHANA&MMEPIGA FRESHY.
ZAIDI CHEKI NA SISI KAMA UNA MAWAZO YOYOTE YA KUENDELEZA HARAKATI ZA KUPAMBANA NA MAISHA MAGUMU KWA VIJANA KUPITIA FACEBOOK PAGE YETU, RIGHT?
MENGINEYO TUNASHUKURU KWA SUPPORT YENU NA PIA TUNAWATAKIA LIKIZO NJEMA WADAU WETU.
"Restless Development Youth Network won't leave you behind."
No comments:
Post a Comment